HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:نیکی به پدر و مادر)
-
iwapo amri za baba zitapingana na za mama, mwana atakuwa na anawajibu gani katika hali kama hiyo?
13228 2012/05/23 Tabia kimatendoMiongoni mwa amri kuu alizoamriswha mja na Mola wake baada ya ile amri ya kumpwekesha Mola wake ni kwatii wazazi wawili. Kuhusiana na swali lililoulizwa hapo juu pamoja na hali halisi iliyotajwa