HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:تاریخ)
-
Shakhsiya yake ilikuwa vipi ?mtazamo wa Ahlul bait kuhusiana na yeye.Riwaya zilizonukuluwa kwake zina hukumu gani?
4808 2019/06/12 تاريخ بزرگانUmayri bni Maliki ni katika wajukuu wa khazraji aliyejulikana sana kwa vinyongo ni katika sahaba wa mtume [ saww ] yeye nikatika kabila la watu wa khazraj na aliishi Madina alisilimu baada ya kupita m
-
je kitabu cha tarehe kijulikanacho kwa jina la Taarekhu-Tabari, ni kitabu kinachoaminika?
9587 2012/05/23 تاريخ بزرگانPale kitabu fulani kinaposemekana kuwa ni chenye kuaminika huwa haimaanishi kuwa kila kilichomo ndani yake ni sahihi. Kitabu Taarikhut-Tabariy si chenye kuepukana na usemi huu bali nacho pia hakikubeb
-
Je ni kweli kuwa Imamu Husein (a.s) aliwahi kuwa na binti mwenye umri wa miaka mitatu au mine, aliyejulikana kwa jina la Ruqayya au Sukaina anaye semekana kuwa alifariki dunia huko Damascus?
10503 2012/05/23 تاريخ بزرگانIngawaje wengi miongoni mwa waandishi wa Historia hawakukinukuu kisa cha kuwepo kwa mtoto huyo wa kike wa Imamu Husein a.s mwenye umri wa kiasi cha miaka mitatu au mine aliyejulikana kwa jina la Ruqay
-
je hili shairi lisemalo: “mfalme wa wote ametupwa chini, na medali ya pambo (kichwa cha Imamu Husein) ikachokwa juu ya mshale, kichwa kile hakikuwa ni cha kawaida, bali ni shina na kibla kinachoelekewa na nyoyo zenye kufuata taa ya upendo” ambalo linadaiwa kuwa ni la Allaama Shaa’araniy, je kweli shairi hili linatokana naye?
9319 2012/05/23 تاريخ بزرگانKitabu Dam-us-sajuum ni tarjama ya kitabu maarufu cha maombolezo kinachotokana na Haaj Sheikh Abbaas Qummiyi ambaye ni muandishi wa kitabu Mafaatihul-jinaan. Kitabu Dam-us-sajuum kimepigwa chapa na ki
-
je ni kweli kuwa Imamu Hsein (a.s) alifunga ndoa na bibi Shahre-Baanu?
9749 2012/05/23 تاريخ بزرگانSuala la ndoa ya Imamu Husein a.s na bibi Shahre Baanu aliyetekwa na jeshi la Kiisalamu ni suala liliozungumziwa na vitabu vya historia huku likiwa na rangi mbali mbali za Ibara zenye kutofautiana baa
-
ni kwa nini maombolezo ya Imamu Husein (a.s), yakapewa jina la Raudha?
10786 2012/05/23 تاريخ کلامNeno Raudha ni neno maalumu linalotumiwa na waombolezaji wa mwauwaji ya Imamu Husein a.s na neno hili linatoka kwenye kitabu maarufu cha maombolezo ya Imamu Husein a.s kijulikanacho kwa jina la Raud
-
je Imamu Huein (a.s) aliwahi kuwa na bint aliyeitwa Ruqayya?
8222 2012/05/23 تاريخ بزرگانKatika tokeo muhimu la Karbala kulikuwa kuna aina nyingi za nyuso zilizong ara na baadhi ya nyuso hizo zilikuwa ni nyuso za watoto wadogo lakini Tarehe haikunukuu habari kamili kuhusiana na nyuso zote
-
Je kuna ukweli wowote kuhusiana na madai yasemayo kuwa: Imamu Husein (a.s) alimuandikia Habibu bin Madhahir barua isemayo: “kutoka kwa mtengwa kwenda kwa Habibu”?
7104 2012/05/23 تاريخ بزرگانSisi swali lako tumelifanyia utafiti na kulisaka katika maandiko mbali mbali yanayoelezea msiba wa Imamu Husein a.s vile vile tumeangalia ndani ya kitabu maarufu kijulikanachoa kwa jina la Luhuuf cha
-
kuna dalili yoyote ile inayothibitisha kuwa Shimru alimchinja Imamu Husein (a.s) kwa kisogoni?
7429 2012/05/23 تاريخ بزرگانSuala hilo limenukuliwa kutoka sehemu tofauti: 1- Imenukuliwa katika maneno ya Zainab a.s yaliyosema: Ewe Muhmmad s.a.w.w wanao wa kike wamefanywa kuwa ni mateka na wanao wa kiume wameuwawa na upep
-
je kuna ukweli wowote kuhusiana na nukuu au habari zisemazo kuwa: Imamu Husein (a.s) na Yazidu wote wawili kwa pamoja walimposa Urainab? Na kama suala hilo ni la kweli, je jambo hilo liliweza kuchangia fitina za kutokea kwa vita vya Karbala?
10902 2012/05/23 تاريخ بزرگانKuna baadhi ya vitabu vya Tarehe vilivyoeleza kuwa: ingawaje Yazidu alikuwa ana kila aina ya starehe alizozitayarisha kwenye nyumba yake wakiwemo aina mbali mbali za wanawake lakini bado alikuwa hatos
-
ni nani aliyeuzika mwili mtukuffu wa Imamu Husein (a.s)?
9058 2012/05/23 تاريخ بزرگانMitazamo ya maulamaa ni yenye kutofautiana kuhusiana na suala hili. Moja kati ya mitazamo hiyo ni ule mtazamo unaowafikiana na baadhi ya Riwaya pamoja na vitabu vya Tarehe mtazamo huu ni kama ifuatavy
-
je majini na Malaika walikuja kumsaidia Imamu Husein (a.s) pale alipokuwa vitani huko Karbala? Na kama wao walikuja kumsaidia, basi kwa nini yeye aliukataa msaada huo?
12556 2012/05/23 تاريخ بزرگانKuna baadhi ya Riwaya na Hadithi zilizopokelewa kutoka kwa baadhi ya Maimamu a.s zenye kuashiria suala hilo. Lakini hakuna ajabu kuhusiana na suala hilo kwani Mwenye Ezi Mungu aliwanusuru mitume tof
-
nini ilikuwa hatima ya farasi wa Imamu Husein (a.s) huko Karbala?
7802 2012/05/23 تاريخ بزرگانWaandishi mbali mbali wa walioandika na kulizungumzia tokeo la Karbala hawakutoa ufafanuzi wa kutosha kuhusiana na farasi wa Imamu Husein a.s bali walichokielezea ni kuwa farasi huyu alijipakaa damu
-
je mababu na wana wa Maalik Ashtar walikuwa ni wapenzi na wanaumini wanao uunga mkono uongozi wa Ahlul-Bait (a.s)?
8119 2012/05/23 تاريخ بزرگانKwa kweli hakuna kitabu miongoni mwa vitabu maarufu vya Tarehe vyenye kutegemewa kilichozungumzia na kuthibitisha suala la hali halisi juu ya wazee wa Maalik Ashtar bali tu kinachofahamika kuhusiana n