HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:کلام قدیم)
-
nini siri hasa ya Uslamu kuwa ni dini ya mwisho, na nini pingamizi hasa ya bwana Surush juu ya hilo?
13930 2014/02/12 Elimu ya zamani ya AkidaKuzingatia nukta zifuatazo kutaweza kumsaidia msomaji kulitambua vyema suala hili: 1- Hitimisho la utume lina maana ya hitimisho la dini; na hii inamaanisha kuwa hakutokuja mtume mwengine baada Yake
-
kwanza kabisa napenda kuuliza kuwa: je watu wa Peponi wote watakuwa ni vijana? Na la pili ni kwamba: imekuwaje miongoni mwa Maimamu wote pamoja na Mtume (s.a.w.w), ikawa Imamu Hasan na Husein tu ndio mabwana wa vijana wa Peponi?
14727 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaWajukuu hawa wawili wa Mtume s.a.w.w ni mabwana wenye utukufu juu ya vijana wote Peponi haidhuru kuwa ndani ya Pepo watu wote watakuwa katika hali moja ya ujana ama wao Imamu Hasan na Husein a.s ndio
-
hivi ni kwa nini Imamu Ali (a.s), hakuamua kilinda nafsi yake mbele ya adui yake (Ibnu Muljim), hali ya kuwa Yeye (a.s) alikuwa akielewa vyema nia ya adui huyo?
9427 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaJawabu kamili ya swali hili yaweza kukamilika kuvitambua vipengele vifuatavyo: Vigezo halisi kwa mja katika utendaji wa amali na nyadhifa zake zinazomfungamanisha na wanajamii mbali mbali ni ile
-
hivi ni kwanini baadhi ya watu katika ulimwengu wa ndoto huonekana katika umbile la kinyama, hali ya kuwa wao baadae walionekana kuwa ni miongoni mwa watu waliofaulu na kupata daraja mbali mbali za utukufu.
14002 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaKuna Aya na Riwaya mbali mbali zenye kuonesha kuwa hali na sura halisi za maumbile ya baadhi ya watu ni zenye kutafautiana na lile umbile lao dhahiri wanalo onekana nalo katika ulimwengu huu wa dhahir
-
je majina ya watu watano watukufu yametajwa ndani ya Taurati na Injili?
12461 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaKwa mujibu wa nukuu za baadhi ya Hadithi ni kwamba majina ya matano ya Aali Abaa a.s yaani Aali wa Mtume Muhammad s.a.w.w ambao ni: Ali Fatima Hasan na Husein yametajwa ndani ya Taurati na Injili. P
-
je ni kweli kuwa Maimamu ni wabora zaidi kuliko hata Mitume?
15994 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaSuala la Maimamu a.s kuwazidi Mitume katika daraja za kielimu ni suala moja linalo onekana kuzungumziwa sana na Riwaya mbali mbali na sababu hasa za wao kuwazidi Mitume kielimu zinatokana na ule uhaki
-
je ni kweli kuwa Malaika wameumbwa kupitia nuru ya Maimamu (a.s)? Na je ni kweli kuwa wadhifa wao ni kumlilia na kuomboleza mauwaji ya Imamu Husein (a.s)?
15034 2012/05/23 Elimu ya zamani ya Akida1- Suala la Malaika kuumbwa kutokana na nuru ya watu fulani ni suala maarufu lilinukuliwa kutoka kwenye Riwaya za pande zote mbili za Masunni na Mashia. Ndani ya vitabu vya Kishia kuna Riwaya zinazoel
-
je Imamu Khomeiniy (r.a) alikuwa anaamini kuwa kuadhimisha kwa kilio na maombolezo siku ya kuuwawa Imamu Husein (a.s), ndiyo sababu iliyoufanya Uislamu kubaki hai na imara tokea zama za Maimamu (a.s) hadi leo? Na kama alikuwa na imani hiyo, basi ni kwa msingi gani?
8982 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaImamu Khomeiniy r.a alitilia mkazo sana katika mazungumzo yake ya mara kwa mara ya kwamba: muhanga wa Imamu Husein a.s pamoja kuadhimisha siku ya muhanga huo kwa kuandaa vikao vya maombolezo kwa aji
-
nini maana ya usemi usemao kuwa: kumzuru Imamu Husein (a.s) ni sawa na kumzuru Mola kwenye Arshi yake”?
11677 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaImamu Husein bin Ali a.s ambaye ni Imamu wa tatu wa Kishia ni mtu mwenye fadhila kubwa mbele ya Mola wake na fadhila hizo amezipata kwa kutokana na malengo yake matendo kutojitanguliza mbele katika ma
-
tafadhalini tunaomba mutufafanulie naana ya Aya isemayo:
“لا اكراه فى الدّين قد تَبَيّن الرّشدُ مِن الغىِّ...”
10868 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaTukizingatia aina mbali mbali za tafsiri kuhusiana na Aya hii tutaona kuwa kuna kauli tano tofauti zilizotajwa katika kuifasiri Aya hiyo na kauli sahihi ni ile isemayo kuwa Aya hii imebeba ujumbe kwa
-
jee mwanaadamu ni mwenye uhuru katika matendo yake? Na kama yeye ni mwenye uhuru, basi mipaka ya uhuru wake ikoje?
9100 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaMara nyingi mwanaadamu akiwemo katika msafara wa maisha yake binafsi hujikuta akiwa ni mpweke na mgeni ndani ya msafara huo. Lakini hakuna budi kila mmoja wetu kuwemo ndani ya msafara huo. Ukiizingati
-
kwa nini Mola mtukufu hakuwahidi walimwengu wote na kuwafanya wawe ni watu wa kheri walioongoka?
11512 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaNamna ilivyotumiwa Aya iliopita hapo juu ambayo ni Aya ya 13 ya Suratu Sijda katika usimamishaji wa dilili hiyo iliyosema kuwa: Mola hakuwaongoza viumbe wake haikuwa sawa. Kwa sababu ni wazi kabisa ku