HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:امام حسن مجتبی ع)
-
kwanza kabisa napenda kuuliza kuwa: je watu wa Peponi wote watakuwa ni vijana? Na la pili ni kwamba: imekuwaje miongoni mwa Maimamu wote pamoja na Mtume (s.a.w.w), ikawa Imamu Hasan na Husein tu ndio mabwana wa vijana wa Peponi?
14727 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaWajukuu hawa wawili wa Mtume s.a.w.w ni mabwana wenye utukufu juu ya vijana wote Peponi haidhuru kuwa ndani ya Pepo watu wote watakuwa katika hali moja ya ujana ama wao Imamu Hasan na Husein a.s ndio
-
je kitabu cha tarehe kijulikanacho kwa jina la Taarekhu-Tabari, ni kitabu kinachoaminika?
9682 2012/05/23 تاريخ بزرگانPale kitabu fulani kinaposemekana kuwa ni chenye kuaminika huwa haimaanishi kuwa kila kilichomo ndani yake ni sahihi. Kitabu Taarikhut-Tabariy si chenye kuepukana na usemi huu bali nacho pia hakikubeb