Jumatano, 22 Januari 2025
HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:مبانی شیعه)
-
nyinyi mna mtazamo gani kuhusiana na mamlaka na utawala wa Maimamu (a.s) juu ya nafsi za muumini? Je hivi Imamu (a.s) anaweza kuisarifu nafsi ya muumini fulani na kuilelekeza kwenye njia maalumu?
4683
2019/06/15
دانش، مقام و توانایی های معصومان
Ayatu-Llahi Mhdi Hadawiy Tehraniy Mungu Amhifadhi amelijibu swali hili kwa kusema: Bila shaka Maimamu a.s ni wenye mamlaka kamili ya kuitawala na kuzisarifu za waumini lakini kufanya hivyo huwa kuna
-
nini siri hasa ya Uslamu kuwa ni dini ya mwisho, na nini pingamizi hasa ya bwana Surush juu ya hilo?
13930
2014/02/12
Elimu ya zamani ya Akida
Kuzingatia nukta zifuatazo kutaweza kumsaidia msomaji kulitambua vyema suala hili: 1- Hitimisho la utume lina maana ya hitimisho la dini; na hii inamaanisha kuwa hakutokuja mtume mwengine baada Yake
-
katika nuio la ndoa ya muda mfupi, iwapo mwanamme atakuwa ni naibu na wakili wa mwanamke naye akalisoma nuio la ndoa baina yake na huyo mwanamke bila ya kutaja na kuainisha kiwango cha mahari na muda wa ndoa hiyo, je katika hali hiyo ndoa hiyo itakuwa imesihi?
12829
2012/06/17
Sheria na hukumu
Jawabu kutoka kwa baadhi ya wanazuoni wetu ni kama ifuatavyo: Ofisi ya kielimu ya Ayatu-Llahi Khamenei Mungu amhifadhi yenye kuhusika na kujibu maswali ya kifiqi imetoa jawabu ifuatayo: Iwapo mwan
-
kwanza kabisa napenda kuuliza kuwa: je watu wa Peponi wote watakuwa ni vijana? Na la pili ni kwamba: imekuwaje miongoni mwa Maimamu wote pamoja na Mtume (s.a.w.w), ikawa Imamu Hasan na Husein tu ndio mabwana wa vijana wa Peponi?
14727
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
Wajukuu hawa wawili wa Mtume s.a.w.w ni mabwana wenye utukufu juu ya vijana wote Peponi haidhuru kuwa ndani ya Pepo watu wote watakuwa katika hali moja ya ujana ama wao Imamu Hasan na Husein a.s ndio
-
hivi ni kwa nini Imamu Ali (a.s), hakuamua kilinda nafsi yake mbele ya adui yake (Ibnu Muljim), hali ya kuwa Yeye (a.s) alikuwa akielewa vyema nia ya adui huyo?
9427
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
Jawabu kamili ya swali hili yaweza kukamilika kuvitambua vipengele vifuatavyo: Vigezo halisi kwa mja katika utendaji wa amali na nyadhifa zake zinazomfungamanisha na wanajamii mbali mbali ni ile
-
je kitabu cha tarehe kijulikanacho kwa jina la Taarekhu-Tabari, ni kitabu kinachoaminika?
9682
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Pale kitabu fulani kinaposemekana kuwa ni chenye kuaminika huwa haimaanishi kuwa kila kilichomo ndani yake ni sahihi. Kitabu Taarikhut-Tabariy si chenye kuepukana na usemi huu bali nacho pia hakikubeb
-
Je ni kweli kuwa Imamu Husein (a.s) aliwahi kuwa na binti mwenye umri wa miaka mitatu au mine, aliyejulikana kwa jina la Ruqayya au Sukaina anaye semekana kuwa alifariki dunia huko Damascus?
10577
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Ingawaje wengi miongoni mwa waandishi wa Historia hawakukinukuu kisa cha kuwepo kwa mtoto huyo wa kike wa Imamu Husein a.s mwenye umri wa kiasi cha miaka mitatu au mine aliyejulikana kwa jina la Ruqay
-
je ni kweli kuwa Imamu Hsein (a.s) alifunga ndoa na bibi Shahre-Baanu?
9813
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Suala la ndoa ya Imamu Husein a.s na bibi Shahre Baanu aliyetekwa na jeshi la Kiisalamu ni suala liliozungumziwa na vitabu vya historia huku likiwa na rangi mbali mbali za Ibara zenye kutofautiana baa
-
je majina ya watu watano watukufu yametajwa ndani ya Taurati na Injili?
12462
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
Kwa mujibu wa nukuu za baadhi ya Hadithi ni kwamba majina ya matano ya Aali Abaa a.s yaani Aali wa Mtume Muhammad s.a.w.w ambao ni: Ali Fatima Hasan na Husein yametajwa ndani ya Taurati na Injili. P
-
hebu tufafanulieni umuhimu wa Hadhithi Kisaa (Hadithi ya joho)
13125
2012/05/23
Elimu ya Hadithi
Hadhithi Kisaa Hadithi ya joho ambayo imenukuliwa ndani ya kitabu cha Sheikh Abbas Qummiy kijulikanacho kwa jina la Mafaatiihul-jinaan ni Hadithi iliyobeba ndani yake ujumbe mzito wenye umuhimu wa ain
-
je ni kweli kuwa Maimamu ni wabora zaidi kuliko hata Mitume?
15994
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
Suala la Maimamu a.s kuwazidi Mitume katika daraja za kielimu ni suala moja linalo onekana kuzungumziwa sana na Riwaya mbali mbali na sababu hasa za wao kuwazidi Mitume kielimu zinatokana na ule uhaki
-
je ni kweli kuwa Malaika wameumbwa kupitia nuru ya Maimamu (a.s)? Na je ni kweli kuwa wadhifa wao ni kumlilia na kuomboleza mauwaji ya Imamu Husein (a.s)?
15034
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
1- Suala la Malaika kuumbwa kutokana na nuru ya watu fulani ni suala maarufu lilinukuliwa kutoka kwenye Riwaya za pande zote mbili za Masunni na Mashia. Ndani ya vitabu vya Kishia kuna Riwaya zinazoel
-
ibara ya laana yenye kuulenga ukoo wa Banu Umayya, haitoacha kumgusa mwana wa Yazidu, kwani naye ni miongoni mwa watu wa ukoo huo, vipi basi sisi tukubaliane na Ziara hiyo na kukadai kuwa ni maandilo sahihi yatokayo kwa Maimamu (a.s)?
9749
2012/05/23
Elimu ya Hadithi
Ndani ya ibara zilizomo kwenye maandiko ya Sala na salamu za siku ya Ashura zijulikanazo kwa jina la Ziaratu-Aa shuuraa kuna ibara ya kuwalaani Banu Umayya wote kwa ujumla akiwemo mwana wa Yazidu. Huk
-
nini maana ya usemi usemao kuwa: kumzuru Imamu Husein (a.s) ni sawa na kumzuru Mola kwenye Arshi yake”?
11677
2012/05/23
Elimu ya zamani ya Akida
Imamu Husein bin Ali a.s ambaye ni Imamu wa tatu wa Kishia ni mtu mwenye fadhila kubwa mbele ya Mola wake na fadhila hizo amezipata kwa kutokana na malengo yake matendo kutojitanguliza mbele katika ma
-
je Imamu Huein (a.s) aliwahi kuwa na bint aliyeitwa Ruqayya?
8312
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Katika tokeo muhimu la Karbala kulikuwa kuna aina nyingi za nyuso zilizong ara na baadhi ya nyuso hizo zilikuwa ni nyuso za watoto wadogo lakini Tarehe haikunukuu habari kamili kuhusiana na nyuso zote
-
tafadhalini tupeni ufafanuzi kuhusu mapokezi na maandiko ya Ziara ya siku ya Ashura.
10675
2012/05/23
Elimu ya Hadithi
Rejeo mama na asili hasa zinazo aminika ambazo zimeyanukuu maandiko ya Sala na salamu Ziara za siku ya Ashura ni vitabu viwili navyo ni: kitabu Kaamiluz-ziaaraat cha Jaa far bin Muhammad bin Quulewaih
-
kuna dalili yoyote ile inayothibitisha kuwa Shimru alimchinja Imamu Husein (a.s) kwa kisogoni?
7498
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Suala hilo limenukuliwa kutoka sehemu tofauti: 1- Imenukuliwa katika maneno ya Zainab a.s yaliyosema: Ewe Muhmmad s.a.w.w wanao wa kike wamefanywa kuwa ni mateka na wanao wa kiume wameuwawa na upep
-
je kuna ukweli wowote kuhusiana na nukuu au habari zisemazo kuwa: Imamu Husein (a.s) na Yazidu wote wawili kwa pamoja walimposa Urainab? Na kama suala hilo ni la kweli, je jambo hilo liliweza kuchangia fitina za kutokea kwa vita vya Karbala?
11005
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Kuna baadhi ya vitabu vya Tarehe vilivyoeleza kuwa: ingawaje Yazidu alikuwa ana kila aina ya starehe alizozitayarisha kwenye nyumba yake wakiwemo aina mbali mbali za wanawake lakini bado alikuwa hatos
-
kwa nini Imamu Husein (a.s) anaitwa Tharu-Llahi (ثار الله)?
12122
2012/05/23
Tabia kimtazamo
Neno Tharu-Llahi ثار الله limekuja likiwa na maana mbili: moja ni kwa maana ya damu na ya pili ni kwa maana ya kulipiza kisasi na kutaka kummwga damu ya muuwaji. Kwa hiyo maana ya mwanzo inapotumika
-
hivi Abbaaasi alipokwenda mto Furaat kwa ajili ya kuwaletea maji watu wa familia ya Imamu Husein (a.s) alitumia utajo au ukulele maalumu?
7837
2012/05/23
Nyenendo za wanazuoni
Imamu Husein a.s pamoja na wafuasi wake pale walipokuwa Karbala walikuwa wakisoma mashairi maalumu yenye ibara za kivita kwa ajili ya kuwahamasisha wanavita pia Abul-Fadhlil-Abbaas alionekana mara zot
-
ni nani aliyeuzika mwili mtukuffu wa Imamu Husein (a.s)?
9116
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Mitazamo ya maulamaa ni yenye kutofautiana kuhusiana na suala hili. Moja kati ya mitazamo hiyo ni ule mtazamo unaowafikiana na baadhi ya Riwaya pamoja na vitabu vya Tarehe mtazamo huu ni kama ifuatavy
-
je majini na Malaika walikuja kumsaidia Imamu Husein (a.s) pale alipokuwa vitani huko Karbala? Na kama wao walikuja kumsaidia, basi kwa nini yeye aliukataa msaada huo?
12659
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Kuna baadhi ya Riwaya na Hadithi zilizopokelewa kutoka kwa baadhi ya Maimamu a.s zenye kuashiria suala hilo. Lakini hakuna ajabu kuhusiana na suala hilo kwani Mwenye Ezi Mungu aliwanusuru mitume tof
-
nini ilikuwa hatima ya farasi wa Imamu Husein (a.s) huko Karbala?
7872
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Waandishi mbali mbali wa walioandika na kulizungumzia tokeo la Karbala hawakutoa ufafanuzi wa kutosha kuhusiana na farasi wa Imamu Husein a.s bali walichokielezea ni kuwa farasi huyu alijipakaa damu
-
je mababu na wana wa Maalik Ashtar walikuwa ni wapenzi na wanaumini wanao uunga mkono uongozi wa Ahlul-Bait (a.s)?
8205
2012/05/23
تاريخ بزرگان
Kwa kweli hakuna kitabu miongoni mwa vitabu maarufu vya Tarehe vyenye kutegemewa kilichozungumzia na kuthibitisha suala la hali halisi juu ya wazee wa Maalik Ashtar bali tu kinachofahamika kuhusiana n