HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:گوناگون)
-
je kuna ukweli wowote kuhusiana na nukuu au habari zisemazo kuwa: Imamu Husein (a.s) na Yazidu wote wawili kwa pamoja walimposa Urainab? Na kama suala hilo ni la kweli, je jambo hilo liliweza kuchangia fitina za kutokea kwa vita vya Karbala?
11005 2012/05/23 تاريخ بزرگانKuna baadhi ya vitabu vya Tarehe vilivyoeleza kuwa: ingawaje Yazidu alikuwa ana kila aina ya starehe alizozitayarisha kwenye nyumba yake wakiwemo aina mbali mbali za wanawake lakini bado alikuwa hatos