HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:حوادث روز عاشورا)
-
kuna dalili yoyote ile inayothibitisha kuwa Shimru alimchinja Imamu Husein (a.s) kwa kisogoni?
7463 2012/05/23 تاريخ بزرگانSuala hilo limenukuliwa kutoka sehemu tofauti: 1- Imenukuliwa katika maneno ya Zainab a.s yaliyosema: Ewe Muhmmad s.a.w.w wanao wa kike wamefanywa kuwa ni mateka na wanao wa kiume wameuwawa na upep
-
hivi Abbaaasi alipokwenda mto Furaat kwa ajili ya kuwaletea maji watu wa familia ya Imamu Husein (a.s) alitumia utajo au ukulele maalumu?
7808 2012/05/23 Nyenendo za wanazuoniImamu Husein a.s pamoja na wafuasi wake pale walipokuwa Karbala walikuwa wakisoma mashairi maalumu yenye ibara za kivita kwa ajili ya kuwahamasisha wanavita pia Abul-Fadhlil-Abbaas alionekana mara zot
-
je majini na Malaika walikuja kumsaidia Imamu Husein (a.s) pale alipokuwa vitani huko Karbala? Na kama wao walikuja kumsaidia, basi kwa nini yeye aliukataa msaada huo?
12605 2012/05/23 تاريخ بزرگانKuna baadhi ya Riwaya na Hadithi zilizopokelewa kutoka kwa baadhi ya Maimamu a.s zenye kuashiria suala hilo. Lakini hakuna ajabu kuhusiana na suala hilo kwani Mwenye Ezi Mungu aliwanusuru mitume tof
-
nini ilikuwa hatima ya farasi wa Imamu Husein (a.s) huko Karbala?
7838 2012/05/23 تاريخ بزرگانWaandishi mbali mbali wa walioandika na kulizungumzia tokeo la Karbala hawakutoa ufafanuzi wa kutosha kuhusiana na farasi wa Imamu Husein a.s bali walichokielezea ni kuwa farasi huyu alijipakaa damu