HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:زیارت عاشورا و دیگر زیارات)
-
ibara ya laana yenye kuulenga ukoo wa Banu Umayya, haitoacha kumgusa mwana wa Yazidu, kwani naye ni miongoni mwa watu wa ukoo huo, vipi basi sisi tukubaliane na Ziara hiyo na kukadai kuwa ni maandilo sahihi yatokayo kwa Maimamu (a.s)?
9719 2012/05/23 Elimu ya HadithiNdani ya ibara zilizomo kwenye maandiko ya Sala na salamu za siku ya Ashura zijulikanazo kwa jina la Ziaratu-Aa shuuraa kuna ibara ya kuwalaani Banu Umayya wote kwa ujumla akiwemo mwana wa Yazidu. Huk
-
tafadhalini tupeni ufafanuzi kuhusu mapokezi na maandiko ya Ziara ya siku ya Ashura.
10635 2012/05/23 Elimu ya HadithiRejeo mama na asili hasa zinazo aminika ambazo zimeyanukuu maandiko ya Sala na salamu Ziara za siku ya Ashura ni vitabu viwili navyo ni: kitabu Kaamiluz-ziaaraat cha Jaa far bin Muhammad bin Quulewaih
-
kwa nini Imamu Husein (a.s) anaitwa Tharu-Llahi (ثار الله)?
12093 2012/05/23 Tabia kimtazamoNeno Tharu-Llahi ثار الله limekuja likiwa na maana mbili: moja ni kwa maana ya damu na ya pili ni kwa maana ya kulipiza kisasi na kutaka kummwga damu ya muuwaji. Kwa hiyo maana ya mwanzo inapotumika