MASWALI YA MWISHO KABISA NA JAWABU ZAKE
-
Vipi mtu anaweza kuwa kipenzi cha Mwenye Ezi Mungu?
7633 Tabia kimatendoKatika lugha ya Kiarabu, -ambayo ndiyo lugha ya sheria ya Kiislamu- neno (pendo) linatokana na neno "حب". Ambalo lina maana ya kule mtu kuwa na mapenzi na mtu, kitu au jambo fulani. Lakini neno pendo, mapenzi au neno jengine lenye maana kama hii, linapotumika na kunasibishwa ...
-
kwa mtazamo wa Qur-ani, ni amali gani zinazoweza kuharibu na kubatilisha amali njema zenye kuthaminiwa?
6065 حبط و تکفیرNdani ya Qur-ani na Riwaya mbali mbali, kuna mafunzo mbali mbali yenye kuwafahamisha waja masharti ya mwanzo yanayosababisha kukubaliwa amali zao, na masharti msingi yaliyotajwa katika mafunzo hayo ni kumuamini Mola, kujiepusha na shirki pamoja kuto ritadi, na bila ya kuwepo misingi hiyo Mola hatozikubali aina zozote ...
-
nyinyi mna mtazamo gani kuhusiana na mamlaka na utawala wa Maimamu (a.s) juu ya nafsi za muumini? Je hivi Imamu (a.s) anaweza kuisarifu nafsi ya muumini fulani na kuilelekeza kwenye njia maalumu?
4654 دانش، مقام و توانایی های معصومانAyatu-Llahi Mhdi Hadawiy Tehraniy (Mungu Amhifadhi), amelijibu swali hili kwa kusema: Bila shaka Maimamu (a.s) ni wenye mamlaka kamili ya kuitawala na kuzisarifu za waumini, lakini kufanya hivyo huwa kunahitajia idhini ya Mola Mtukufu, hivyo basi wao (a.s) huwa hawafanyi hivyo isipokuwa kuwe na maslahi maalumu juu ...
-
Shakhsiya yake ilikuwa vipi ?mtazamo wa Ahlul bait kuhusiana na yeye.Riwaya zilizonukuluwa kwake zina hukumu gani?
4843 تاريخ بزرگانUmayri bni Maliki ni katika wajukuu wa khazraji aliyejulikana sana kwa vinyongo,ni katika sahaba wa mtume,[saww]yeye nikatika kabila la watu wa khazraj na aliishi Madina, alisilimu baada ya kupita miezi kadhaa ya mtume kufika Madinah Abu dardaii aliitikadi ubora wa imamAli[as] dhidi ya Muawiyah.Alifatana na Abu Huraira ...
-
Vacip olan kaza orucu bozmanın hükmü nedir? Eğer kaza orucu tutan birisi eşiyle birlikte olursa orucu bozulurmu? Lütfen yardımcı olun.
5707Orucu boazan unsurlar hakkında orucu bozan şeyler, soru:6047 (site:6217) adresine müracaat ediniz. Orucu bozan unsurlardan birisi cinsel ilişki olduğu için ramazan orucu veya kaza orucu arasında hüküm farklılığı yoktur. Yani oruç batıl olur. Ancak ramazan orucunun kazasını yerine getiren şahsın kazayı yerine getirmek için fırsatı varsa öğle ...
-
Kodi za yanayohusiana na maudhui
4328 اعتکافKwanza tuwie radhi kawa kuchelewa kukujibu swali lako. Tuna tazizo wakati mwengine la kuchelewa kujibu maswali kwa haraka, hii ni kwa kutokana na kuzidiwa na maswali, au wafanya kazi wetu kuto kuwa na muda wa kutosha katika kujibu maswali mbali mbali. ...
-
Vipi talaka hutimia, maneno gani hutumika kwa ajili ya talaka, na ni mara ngapi?
12805 طلاقKulingana na madhehebu ya Shia, iwapo mtu atakasirika kupita budi, kiasi ya kwamba akawa ametoa talaka bila ya makusudia au bila ya hiari kwa kutokana na kutawaliwa na hasira kupita budi. Hapo talaka haitakutimia. Ila kama atakuwa amekasirika kupitia budi, ila bado yupo timamu na akawa ametoa ...
-
Nini hukumu ya mwenye kumpa chakula muislamu asiyefunga?
5172 گوناگونSi tatizo mtu kumpa chakula wakati wa mchana muislamu asiyefunga ndani ya mwezi wa Ramadhani. Hukumu hii na kwa yule muislamu amedharurika kufunga. Kama vile kumpa chakula wakati wa mchana muislamu aliye mgonjwa au msafiri. Kwa upande wa pili; ni vyema kutompa chakula muislamu asiyeruhusika kula (asiye ...
-
Tafadhali naomba munieleweshe, nini maana ya hijja kilugha?
6988 حجHijja kilugha; Ni kukisudia na kukiendea kitu au jambo fulani.[1] Neno hijja Kisheria na kitaalamu; Neno hijja kisheria ni lenye kuashiria aina maalumu ya ibada yenye kutendeka mahala maalumu, kwa mfumo na wakati maalumu. Ibada hii inatakiwa kutendeka katika nyumba maalumu ya Mwenye Ezi ...
-
Shin aure yana da wasu sharaDai na musamman?.
6580 Sheria na hukumuA mahangar musulunci auren da’imi da na mutu’a suna da sharaDai waDanda sune kamar haka:- 1. Karanto siga (Yarjewa juna tsakanin miji da mata shi kaDai bai wadatar ba lalle ne a hada shi da furta “farar da” lafazi na musamman). 2. Bisa ihtiyaDi na wajibi ya ...
-
Niyə müsəlman bir kişi əhli kitab qadını ilə daimi evlənə bilməz amma müvəqqəti evlənə bilər?
6934 Sheria na hukumuKitab əhli qadınları ilə müsəlman kişilərin daimi evliliyi barədə fəqihlərin baxışı müxtəlifdir. Bu ixtilafın səbəbi bu sahədə olan müxtəlif rəvayətlərdən irəli gəlir. Belə nəzərə çarpır ki, bəzi hədislərdə bu evliliyə icazə verlməməsinin hikməti müsəlman kişilərin kafir qadınların əxlaq və xasiyyətlərinin və həmçinin inanclarının təsir altına düşməsinin qarşısını ...
-
Batasan pakaian bagi perempuan untuk mengerjakan salat
6895 Sheria na hukumuBatasan wajib menutup aurat bagi perempuan adalah menutup seluruh badan termasuk rambut kecuali wajah (seukuran dengan basuhan ketika berwudhu), kedua telapak tangan dan kedua kaki sampai pergelangannya. Dari sisi ukuran kainnya, maka kain itu harus bisa menutupi badan artinya seukuran dengan badan dan rambutnya tidak kelihatan. ...
-
Timsahın saxlanılması və digər ölkələrə satışına icazə varmı?
7867 Sheria na hukumuTəqlid olunan müctehidlərin cavabları bunlardır: Həzrət ayətullah Xamnei (Allah qorusun) Əti haram olan heyvanların saxlanılması və onun hətta, bu heyvanların ətlərinin yeyilməsini halal bilənlərə də satılması düzgün deyildir. Amma, aqillər nəzərində halal mənfəətə görə olsa məsələn, ətinin başqa ət yeyən heyvanlar üçün istifadəsi yaxud, dərisinin dəri sənətində ...
-
nini siri hasa ya Uslamu kuwa ni dini ya mwisho, na nini pingamizi hasa ya bwana Surush juu ya hilo?
13882 Elimu ya zamani ya AkidaKuzingatia nukta zifuatazo kutaweza kumsaidia msomaji kulitambua vyema suala hili: 1- Hitimisho la utume lina maana ya hitimisho la dini; na hii inamaanisha kuwa hakutokuja mtume mwengine baada Yake (s.a.w.w). Hayo pia utayakuta kwenye Aya ya 40 ya Suratul-Ahzab. 2- Dini ya Kiislamu imeitwa dini ya mwisho ...
-
hadi kufia leo, ni watu gani walio weza kusimama mbele ya shetani, na walitumia njia gani katika kupambana naye?
14382 Tabia kimatendoKwa mtazamo wa Qur-ani ni kwamba: shetani hana uwezo wa kuwamiliki na kuwadhibiti wacha Mungu wenye ikhlasi na Mola wao. Wacha Mungu wenye ikhlasi, ni wale walio ifikia daraja maalumu ya ucha Mungu, jambo ambalo huwa ndiyo ngao iwalindayo kutokana na shetani. Kupambana na shetani ...
-
nini hukumu ya kufuga njiwa ndani ya sheria za Kiislamu? Na nini msingi hasa wa hukumu hiyo?
25132 Sheria na hukumuTukilitazama suala la kufunga njiwa kibinafsi, tutalikutia kuwa suala hili halina matatizo na ni halali. Lakini pale sisi tutapolimbatanisha suala hili na haki za majirani au wanajamii, hapo tunaweza kulipa picha ya uhalali au uharamu kwa jinsi hali za jamii mbali mbali zinavyolitazama suala hilo. Baadhi ya ...
-
kuna tofauti gani baina ya tabia na eimu ya tabia (saikolojia)?
32324 Tabia kimtazamoNeno (tabia) linatokana na neno la Kiarabu (اخلاق) ambalo ni umoja wa neno (خُلْق) lenye maana ya tabia, nyenendo au sifa za watu mbali mbali zinazo zimbatana na matendo yao bila ya kutofautisha baina ya sifa na tabia mbaya na zile sifa njema.
-
je hivi kuna kifungu chochote kile ndani ya sheria ya kiislamu, chenye kuzungumzia suala la mtu kuwa na kazi mbili tofauti? Na je suala la mtu kuwa na kazi mbili tofauti, huwa linaanisha kuwa mtu huyo ni mwenye kuiendekeza au kuipenda sana dunia kuliko Akhera?
10796 Sheria na hukumuKwa kweli kisheria hakuna matatizo yoyote yale kuhusiana na suala hilo la mtu kuwa na aina mbili za kazi au madaraka. Ndio Uislamu umewatahadharisha watu kuhusiana na kuwa na mapenzi makubwa ya kuipenda dunia na kuyasahau maisha ya Akhera, dlakini mtu anaweza akawa na aina mbili za ...
-
ni sharti gani sahihi za utumiaji wa vitu au neema zilizomo ulimwenguni?
10081 Tabia kimatendoUislamu haukuyazingatia mahitajio ya mwanaadamu kwa upande mmoja tu, kama vile zilivyo fanya dini nyengine, kwani dini nyingi ima hugharamika katika kuyazingatia mahitajio ya kiroho peke yake, au mahitajio ya kilimwengu tu. Uislamu umeshika njia ya kati na kati, na mtizamo wa Uislamu ni kwamba: kufaidika na ...
-
vipi madhehebu manne ya Ahlu-Sunna yalipatikana, na ilikuwaje mlango wa ijitihadi wa madhehebu hayo ukafungwa?
23996 Sheria na hukumuMafunzo na fiqhi ya Kiislamu yaligawika sehemu mbili tokea ndani ya kipindi cha mwanzo cha tarehe ya Kiislamu baada tu ya kufariki Mtume (s.a.w.w), kipindi ambacho kilikuwa ni kipindi cha mzozo katika suala la nani ashike ukhalifa baada ya Mtume (s.a.w.w), hapo kukazaliwa aina mbili za fiqhi: ...
-
je hivi mnaweza mkanipatia baadhi ya Riwaya zenye kukataza kuwepo kwa mahusiano baina ya msichana na mvulana?
13200 Sheria na hukumuMsichana na mvulana wanaweza kuwa na aina mbali mbali za mahusiano ndani ya jamii ya wanaadamu, na bila shaka baadhi ya mahusiano hayo huwa si mahusiano salama na si halali. Kwa kweli swali lililo ulizwa na muulizaji wetu, ni swali lisilokuwa la wazi, lakini sisi tutalijibu swali ...
-
ndani ya vitabu vya fiqhi katika ibara inayohusiana na utoharikaji na usafikaji wa vitu kamavile kuta, majengo pamoja na ardhi, kumeandikwa ibara isemayo: ili jua liweza kuitoharisha na kuisafisha ardhi au kuta za jengo fulani kutokana na najisi fulani, inabidi zizingatiwe sharti maalumu, nazo ni kwamba: hakutakiwi kuwepo kuzuizi juu ...
14300 Sheria na hukumuUfafanuzi juu ya swali lako ni kwamba: jua ni moja kati ya vitu vyenye kutoharisha, na miongoni mwa vitu vyenye kutoharishwa na jua ni: ardhi pamoja na kuta za nyumba.[i] Ili jua liweze kutoharisha ardhi na pamoja na zile kuta za nyumba ...
-
katika nuio la ndoa ya muda mfupi, iwapo mwanamme atakuwa ni naibu na wakili wa mwanamke naye akalisoma nuio la ndoa baina yake na huyo mwanamke bila ya kutaja na kuainisha kiwango cha mahari na muda wa ndoa hiyo, je katika hali hiyo ndoa hiyo itakuwa imesihi?
12791 Sheria na hukumuJawabu kutoka kwa baadhi ya wanazuoni wetu ni kama ifuatavyo: Ofisi ya kielimu ya Ayatu-Llahi Khamenei (Mungu amhifadhi) yenye kuhusika na kujibu maswali ya kifiqi, imetoa jawabu ifuatayo: Iwapo mwanamke alimuakilisha mwanamme huyo kuisoma na kuinuia ndoa, pamoja na kumpa yeye uwakili wa ...
-
iwapo kwenye ngozi ya mwanamke kutakuwa na alama au athari fulani, je inajuzu mke huyo kuifanyia upresheni ngozi ya mwili wake baada ya mumewe kuliridhia jambo hilo? Kwani katika zama zetu hizi ni rahisi kuziondoa alama hizo kupitia kifaa maalumu chenye mwanga, mwanga ambao huwa unafanya kazi ya kuzifuta alama ...
9645 Sheria na hukumuOfisi ya kielimu ya Ayatu-Llahi Khamenei (Mungu amhifadhi) yenye kuhusika na kujibu maswali ya kifiqi, imetoa jawabu hii: Iwapo wewe utakuwa katika mashaka makubwa kwa kutokana na kuwa na aina hiyo ya ngozi, basi unaruhusiwa kufanya upresheni kwa ajili ya kuitibu ngozi yako.
-
je inafaa mtu kumfunga uzazi paka wake kwa ajili ya kumlinda asidhurike kutokana na kuzurura ovyo kwa ajili ya kutafuta uhusiano wa kijinsia?
12112 Sheria na hukumuJawabu kutoka ofisi ya elimu ya AyatuLlahi Khamenei (Mungu amhifadhi): Iwapo kumfunga huko mimba kutakuwa ni mateso kwa mnyama huyo, basi jambo hilo halitofaa kutendwa. Jawabu kutoka ofisi ya elimu ya AyatuLlahi Mahdi Hadawiy Tehraniy (Mungu amhifadhi), ni kama ifuatavyo: Iwapo ...