Please Wait
KAGUA
12143
12143
Tarehe ya kuingizwa:
2012/04/10
KODI YA TOVUTI
fa11659
NAMBARI YA HIFADHI
25097
- Shiriki
Summary Maswali
je inafaa mtu kumfunga uzazi paka wake kwa ajili ya kumlinda asidhurike kutokana na kuzurura ovyo kwa ajili ya kutafuta uhusiano wa kijinsia?
SWALI
je inafaa mtu kumfunga mimba paka, ili asidhuriwe kutokana na kuzurura kwa ajili ya kutafuta uhusiano wa kijinsia na paka wengine?
Nimeuliza swali hili kutokana na kutambua kuwa, paka wengi wanaofugwa ndani ya nyumba huwa hawana mazoea ya kuranda nje na wala hawana himaya, hii ni kwa kutokana na wao kutokuwa na uerevu wa mazingira hayo, pia iwapo yeye atatoka na kuzurura ovyo, huwa ni rahisi kusibiwa na aina mbali mbali za maradhi, maradhi ambayo yanaweza kumsababishia kifo.
MUKHTASARI WA JAWABU
Jawabu kutoka ofisi ya elimu ya AyatuLlahi Khamenei (Mungu amhifadhi):
Iwapo kumfunga huko mimba kutakuwa ni mateso kwa mnyama huyo, basi jambo hilo halitofaa kutendwa.
Jawabu kutoka ofisi ya elimu ya AyatuLlahi Mahdi Hadawiy Tehraniy (Mungu amhifadhi), ni kama ifuatavyo:
Iwapo kutatumika njia maalumu katika kumfunga mimba mnyama huyo, njia ambayo itakuwa si yenye kumletea yeye mateso, basi jambo hilo litajuzu, lakini pia ni lazima izingatiwe kuwa kumfunga huko uzazi, ni kwenye maslahi maalumu yanayokubalika kisheria.
JAWABU KWA UFAFANUZI
Njia ya kuelekea kwenye maswali ya kifiqhi ni yenye namba
TARJAMA YA JAWABU KATIKA LUGHA NYENGINE
MAONI