HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:کلام جدید)
-
nini siri hasa ya Uslamu kuwa ni dini ya mwisho, na nini pingamizi hasa ya bwana Surush juu ya hilo?
13930 2014/02/12 Elimu ya zamani ya AkidaKuzingatia nukta zifuatazo kutaweza kumsaidia msomaji kulitambua vyema suala hili: 1- Hitimisho la utume lina maana ya hitimisho la dini; na hii inamaanisha kuwa hakutokuja mtume mwengine baada Yake
-
kwa mtazamao wa Kiislamu, mwanaadamu ni kiumbe gani?
11945 2012/05/26 Elimu mpya ya AkidaKwa mtazamo wa Qur-ani mwanaadamu ni kiumbe aliyebeba sifa mbili tofauti za kimaumbile moja ni ile inayotokana na maumbile aliyopewa tokea mwanzo kutoka kwa Mola wake nayo ni maumbile ya kiroho na ya
-
vipi Ukristo umeweza kuzifikia hatua mbali mbali za mabadiliko yake ndani ya uwanja wa kihistoria? Na ni jambo gani hasa lililosababisha kutokea upotoshaji wa dini ndani ya dini hii ya Kikristo?
11641 2012/05/23 Elimu mpya ya AkidaWakristo walipokuwa wakiishi katika zama ambazo Isa a.s alikuwa tayari ameshapaishwa mbinguni na Mola wake jukumu la kulingania dini lilishikwa na mitume pamoja na wafuasi wake Hawariyyuun waliokuwep
-
je dini na siasa ni vyenye kuendana au vyapingana?
13156 2012/05/23 Elimu mpya ya AkidaDini ni chombo maalumu kilichokuja kumkomboa mwanaadamu na kumuongoza katika njia ya mafanikio hivyo basi ni jambo lisiloingia akilini kuwa chombo hichi kiwe ni chenye kulipa mgongo jambo muhimu linal