HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:اهل بیت و یاران)
-
Je ni kweli kuwa Imamu Husein (a.s) aliwahi kuwa na binti mwenye umri wa miaka mitatu au mine, aliyejulikana kwa jina la Ruqayya au Sukaina anaye semekana kuwa alifariki dunia huko Damascus?
10542 2012/05/23 تاريخ بزرگانIngawaje wengi miongoni mwa waandishi wa Historia hawakukinukuu kisa cha kuwepo kwa mtoto huyo wa kike wa Imamu Husein a.s mwenye umri wa kiasi cha miaka mitatu au mine aliyejulikana kwa jina la Ruqay
-
je Imamu Huein (a.s) aliwahi kuwa na bint aliyeitwa Ruqayya?
8274 2012/05/23 تاريخ بزرگانKatika tokeo muhimu la Karbala kulikuwa kuna aina nyingi za nyuso zilizong ara na baadhi ya nyuso hizo zilikuwa ni nyuso za watoto wadogo lakini Tarehe haikunukuu habari kamili kuhusiana na nyuso zote
-
hivi Abbaaasi alipokwenda mto Furaat kwa ajili ya kuwaletea maji watu wa familia ya Imamu Husein (a.s) alitumia utajo au ukulele maalumu?
7808 2012/05/23 Nyenendo za wanazuoniImamu Husein a.s pamoja na wafuasi wake pale walipokuwa Karbala walikuwa wakisoma mashairi maalumu yenye ibara za kivita kwa ajili ya kuwahamasisha wanavita pia Abul-Fadhlil-Abbaas alionekana mara zot