HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:مفاهیم قرآنی)
-
kwa mtazamo wa Qur-ani, ni amali gani zinazoweza kuharibu na kubatilisha amali njema zenye kuthaminiwa?
5999 2019/06/15 حبط و تکفیرNdani ya Qur-ani na Riwaya mbali mbali kuna mafunzo mbali mbali yenye kuwafahamisha waja masharti ya mwanzo yanayosababisha kukubaliwa amali zao na masharti msingi yaliyotajwa katika mafunzo hayo ni k
-
nini siri hasa ya Uslamu kuwa ni dini ya mwisho, na nini pingamizi hasa ya bwana Surush juu ya hilo?
13778 2014/02/12 Elimu ya zamani ya AkidaKuzingatia nukta zifuatazo kutaweza kumsaidia msomaji kulitambua vyema suala hili: 1- Hitimisho la utume lina maana ya hitimisho la dini; na hii inamaanisha kuwa hakutokuja mtume mwengine baada Yake
-
je hivi kuna kifungu chochote kile ndani ya sheria ya kiislamu, chenye kuzungumzia suala la mtu kuwa na kazi mbili tofauti? Na je suala la mtu kuwa na kazi mbili tofauti, huwa linaanisha kuwa mtu huyo ni mwenye kuiendekeza au kuipenda sana dunia kuliko Akhera?
10741 2012/06/17 Sheria na hukumuKwa kweli kisheria hakuna matatizo yoyote yale kuhusiana na suala hilo la mtu kuwa na aina mbili za kazi au madaraka. Ndio Uislamu umewatahadharisha watu kuhusiana na kuwa na mapenzi makubwa ya kuipen
-
ni sharti gani sahihi za utumiaji wa vitu au neema zilizomo ulimwenguni?
9995 2012/06/17 Tabia kimatendoUislamu haukuyazingatia mahitajio ya mwanaadamu kwa upande mmoja tu kama vile zilivyo fanya dini nyengine kwani dini nyingi ima hugharamika katika kuyazingatia mahitajio ya kiroho peke yake au mahitaj
-
ni namna gani Qur-ani imelielezea fungamno juu ya imani na kupatikana kwa utulivvu wa moyo?
11809 2012/06/17 TafsiriKilugha panapotumika neno Imani au itikadi humaanisha kule mtu kukubali na kusadiki na maana hii huwa ni kinyume cha neno kukadhibisha na kukanusha. Kitaalamu neno imani huwa linamaanisha kule mtu kus
-
nini maana ya ucha Mungu?
20403 2012/05/23 Tabia kimtazamoTaqwa ucha Mungu ni nguvu maalumu za kiroho zinazo weza kupatikana ndani ya nafsi ya mwanaadamu nguvu ambazo huwa ni himaya maalumu inayomuwezesha yeye kujitenga na maasi. Taqwa kamili ni ile inayomfa
-
kama kweli dini imekuja kuimarisha maisha ya dunianai na Akhera, basi mbona maisha ya baadhi ya wale wasio fungamana na dini, wao ni wenye nyenendo zenye mfumo bora azaidi wa maisha?
12510 2012/05/23 Tabia kimatendoUislamu umekuja kwa ajili ya kuwapangia wanaadamu mfumo maalumu wa sheria za kijamii sheria ambzo ni kwa ajili ya kuweka uhusiano salama na wenye mafanikio baina yao wenyewe kwa wenyewe baina yao na M
-
maisha ya kiucha-Mungu ni maisha ya aina gani? Je misngi ya maisha hayo haipingani na misingi mikuu ya maisha yetu?
12978 2012/05/23 Tabia kimatendoIwapo sisi tutailelekea Qur-ani Tukufu kisha tukaiuliza Qur-ani swali lifualato: je sisi tumeumbwa kwa ajili gani? Hapa tutaiona Qur-ani ikitujibu kwa kauli ifuatayo: و ما خلقت الجن و الانس الا لیع
-
kwanza kabisa napenda kuuliza kuwa: je watu wa Peponi wote watakuwa ni vijana? Na la pili ni kwamba: imekuwaje miongoni mwa Maimamu wote pamoja na Mtume (s.a.w.w), ikawa Imamu Hasan na Husein tu ndio mabwana wa vijana wa Peponi?
14627 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaWajukuu hawa wawili wa Mtume s.a.w.w ni mabwana wenye utukufu juu ya vijana wote Peponi haidhuru kuwa ndani ya Pepo watu wote watakuwa katika hali moja ya ujana ama wao Imamu Hasan na Husein a.s ndio
-
hivi ni kwanini baadhi ya watu katika ulimwengu wa ndoto huonekana katika umbile la kinyama, hali ya kuwa wao baadae walionekana kuwa ni miongoni mwa watu waliofaulu na kupata daraja mbali mbali za utukufu.
13908 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaKuna Aya na Riwaya mbali mbali zenye kuonesha kuwa hali na sura halisi za maumbile ya baadhi ya watu ni zenye kutafautiana na lile umbile lao dhahiri wanalo onekana nalo katika ulimwengu huu wa dhahir
-
iwapo amri za baba zitapingana na za mama, mwana atakuwa na anawajibu gani katika hali kama hiyo?
13138 2012/05/23 Tabia kimatendoMiongoni mwa amri kuu alizoamriswha mja na Mola wake baada ya ile amri ya kumpwekesha Mola wake ni kwatii wazazi wawili. Kuhusiana na swali lililoulizwa hapo juu pamoja na hali halisi iliyotajwa
-
je kuna haja ya kumkhofu Mola au tunatakiwa kuwa na mapenzi Naye?
9605 2012/05/23 Tabia kimatendoSuala la mtu kuwa na khofu huku akiwa na matarajio ya kheri na kwa upande wa pili akawa na mapenzi ya Mola wake huwa si suala la kushangaza kwa mambo hayo mawili hayapingani katika kuwepo kwake kwani
-
nini maana ya neno (kupanga mipango ambalo kwa Kiarabu ni مکر) lililonasibishwa na Mungu ndani ya Qur-ani?
19320 2012/05/23 TafsiriNeno kupanga mipango ambalo kwa Kiarabu ni مکر humaanisha utafutaji wa hila au njia katika kulifikia jambo fulani na yawezekana mtu kutafuta hila na njia za kuyafikia mazuri au mabaya. Ujanja wa Mu
-
tafadhalini tunaomba mutufafanulie naana ya Aya isemayo:
“لا اكراه فى الدّين قد تَبَيّن الرّشدُ مِن الغىِّ...”
10751 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaTukizingatia aina mbali mbali za tafsiri kuhusiana na Aya hii tutaona kuwa kuna kauli tano tofauti zilizotajwa katika kuifasiri Aya hiyo na kauli sahihi ni ile isemayo kuwa Aya hii imebeba ujumbe kwa
-
kwa nini Mola mtukufu hakuwahidi walimwengu wote na kuwafanya wawe ni watu wa kheri walioongoka?
11412 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaNamna ilivyotumiwa Aya iliopita hapo juu ambayo ni Aya ya 13 ya Suratu Sijda katika usimamishaji wa dilili hiyo iliyosema kuwa: Mola hakuwaongoza viumbe wake haikuwa sawa. Kwa sababu ni wazi kabisa ku