HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:فلسفه احکام و حقوق)
-
kuna ulazima gani wa kuonekana kwa mwezi kwa ajili ya Ramadhani? Na mbona suala hilo hailizingatiwi sana ndani ya miezi iliyobakia?
8754 2012/05/23 Falsafa ya Sheria na hukumuSuala la kuonekana kwa mwezi ni lenye umuhimu ndani ya miezi yote lakini suala hilo huwa ni lenye kupewa kipau mbele zaidi ndani ya mwezi wa Ramadhani kwa kutokana na ulazima wa ibada ya funga iliyomo