HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:روابط مرد و زن و خانواده)
-
Vipi talaka hutimia, maneno gani hutumika kwa ajili ya talaka, na ni mara ngapi?
12868 2018/11/10 طلاقKulingana na madhehebu ya Shia iwapo mtu atakasirika kupita budi kiasi ya kwamba akawa ametoa talaka bila ya makusudia au bila ya hiari kwa kutokana na kutawaliwa na hasira kupita budi. Hapo talaka ha
-
Niyə müsəlman bir kişi əhli kitab qadını ilə daimi evlənə bilməz amma müvəqqəti evlənə bilər?
7030 2015/06/02 Sheria na hukumuKitab əhli qadınları ilə m səlman kişilərin daimi evliliyi barədə fəqihlərin baxışı m xtəlifdir. Bu ixtilafın səbəbi bu sahədə olan m xtəlif rəvayətlərdən irəli gəlir. Belə nəzərə arpır ki bəzi hədisl
-
katika nuio la ndoa ya muda mfupi, iwapo mwanamme atakuwa ni naibu na wakili wa mwanamke naye akalisoma nuio la ndoa baina yake na huyo mwanamke bila ya kutaja na kuainisha kiwango cha mahari na muda wa ndoa hiyo, je katika hali hiyo ndoa hiyo itakuwa imesihi?
12829 2012/06/17 Sheria na hukumuJawabu kutoka kwa baadhi ya wanazuoni wetu ni kama ifuatavyo: Ofisi ya kielimu ya Ayatu-Llahi Khamenei Mungu amhifadhi yenye kuhusika na kujibu maswali ya kifiqi imetoa jawabu ifuatayo: Iwapo mwan
-
je ndani ya mchana wa Ramadhan iwapo mtu yeye pamoja na mkewe atakuwa hakufunga, hivi ataruhusiwa kulala na mkewe ndani ya mchana huo?
13435 2012/05/23 Sheria na hukumuNdani ya fatwa za wanazuoni kuna mambo 9 ya msingi yenye kubatilisha saumu nayo ni: 1- kula na kunywa 2- kujamii 3- kupiga ponyeto 4- kumzulia uongo Mola na Mtume wake pamoja na maimamu s.a.w.w 5- ku