HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:کلیات)
-
je majina ya watu watano watukufu yametajwa ndani ya Taurati na Injili?
12432 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaKwa mujibu wa nukuu za baadhi ya Hadithi ni kwamba majina ya matano ya Aali Abaa a.s yaani Aali wa Mtume Muhammad s.a.w.w ambao ni: Ali Fatima Hasan na Husein yametajwa ndani ya Taurati na Injili. P