HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:مطهرات)
-
ndani ya vitabu vya fiqhi katika ibara inayohusiana na utoharikaji na usafikaji wa vitu kamavile kuta, majengo pamoja na ardhi, kumeandikwa ibara isemayo: ili jua liweza kuitoharisha na kuisafisha ardhi au kuta za jengo fulani kutokana na najisi fulani, inabidi zizingatiwe sharti maalumu, nazo ni kwamba: hakutakiwi kuwepo kuzuizi juu ya ardhi ua kuta ziliyonajisika, wala hakutakiwi kuwepo uwazi wenye kupitisha hewa baina ya tabaka la juu lililonajisika na lile tabaka la ndani lililonajisika…, naomba munifahamishe, nini maana hasa ya ibara hii? Tafadhalini nifafanulieni kwa uwazi kabisa.
14231 2012/06/17 Sheria na hukumuUfafanuzi juu ya swali lako ni kwamba: jua ni moja kati ya vitu vyenye kutoharisha na miongoni mwa vitu vyenye kutoharishwa na jua ni: ardhi pamoja na kuta za nyumba. [ i ] Ili jua liweze kutoharis