HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:اهل بیت و ذوی القربی)
-
je majina ya watu watano watukufu yametajwa ndani ya Taurati na Injili?
12432 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaKwa mujibu wa nukuu za baadhi ya Hadithi ni kwamba majina ya matano ya Aali Abaa a.s yaani Aali wa Mtume Muhammad s.a.w.w ambao ni: Ali Fatima Hasan na Husein yametajwa ndani ya Taurati na Injili. P
-
hebu tufafanulieni umuhimu wa Hadhithi Kisaa (Hadithi ya joho)
13078 2012/05/23 Elimu ya HadithiHadhithi Kisaa Hadithi ya joho ambayo imenukuliwa ndani ya kitabu cha Sheikh Abbas Qummiy kijulikanacho kwa jina la Mafaatiihul-jinaan ni Hadithi iliyobeba ndani yake ujumbe mzito wenye umuhimu wa ain