HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:آرامش و اطمینان)
-
ni namna gani Qur-ani imelielezea fungamno juu ya imani na kupatikana kwa utulivvu wa moyo?
11899 2012/06/17 TafsiriKilugha panapotumika neno Imani au itikadi humaanisha kule mtu kukubali na kusadiki na maana hii huwa ni kinyume cha neno kukadhibisha na kukanusha. Kitaalamu neno imani huwa linamaanisha kule mtu kus