HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:صفات اخلاقی )
-
ni namna gani Qur-ani imelielezea fungamno juu ya imani na kupatikana kwa utulivvu wa moyo?
11813 2012/06/17 TafsiriKilugha panapotumika neno Imani au itikadi humaanisha kule mtu kukubali na kusadiki na maana hii huwa ni kinyume cha neno kukadhibisha na kukanusha. Kitaalamu neno imani huwa linamaanisha kule mtu kus
-
nini maana ya ucha Mungu?
20404 2012/05/23 Tabia kimtazamoTaqwa ucha Mungu ni nguvu maalumu za kiroho zinazo weza kupatikana ndani ya nafsi ya mwanaadamu nguvu ambazo huwa ni himaya maalumu inayomuwezesha yeye kujitenga na maasi. Taqwa kamili ni ile inayomfa
-
je kuna haja ya kumkhofu Mola au tunatakiwa kuwa na mapenzi Naye?
9608 2012/05/23 Tabia kimatendoSuala la mtu kuwa na khofu huku akiwa na matarajio ya kheri na kwa upande wa pili akawa na mapenzi ya Mola wake huwa si suala la kushangaza kwa mambo hayo mawili hayapingani katika kuwepo kwake kwani
-
nini maana ya neno (kupanga mipango ambalo kwa Kiarabu ni مکر) lililonasibishwa na Mungu ndani ya Qur-ani?
19320 2012/05/23 TafsiriNeno kupanga mipango ambalo kwa Kiarabu ni مکر humaanisha utafutaji wa hila au njia katika kulifikia jambo fulani na yawezekana mtu kutafuta hila na njia za kuyafikia mazuri au mabaya. Ujanja wa Mu