HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:استغفار و توبه)
-
hivi ni kwanini baadhi ya watu katika ulimwengu wa ndoto huonekana katika umbile la kinyama, hali ya kuwa wao baadae walionekana kuwa ni miongoni mwa watu waliofaulu na kupata daraja mbali mbali za utukufu.
14004 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaKuna Aya na Riwaya mbali mbali zenye kuonesha kuwa hali na sura halisi za maumbile ya baadhi ya watu ni zenye kutafautiana na lile umbile lao dhahiri wanalo onekana nalo katika ulimwengu huu wa dhahir