HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:دنیا و زینتهای آن)
-
je hivi kuna kifungu chochote kile ndani ya sheria ya kiislamu, chenye kuzungumzia suala la mtu kuwa na kazi mbili tofauti? Na je suala la mtu kuwa na kazi mbili tofauti, huwa linaanisha kuwa mtu huyo ni mwenye kuiendekeza au kuipenda sana dunia kuliko Akhera?
10767 2012/06/17 Sheria na hukumuKwa kweli kisheria hakuna matatizo yoyote yale kuhusiana na suala hilo la mtu kuwa na aina mbili za kazi au madaraka. Ndio Uislamu umewatahadharisha watu kuhusiana na kuwa na mapenzi makubwa ya kuipen
-
ni sharti gani sahihi za utumiaji wa vitu au neema zilizomo ulimwenguni?
10035 2012/06/17 Tabia kimatendoUislamu haukuyazingatia mahitajio ya mwanaadamu kwa upande mmoja tu kama vile zilivyo fanya dini nyengine kwani dini nyingi ima hugharamika katika kuyazingatia mahitajio ya kiroho peke yake au mahitaj
-
kama kweli dini imekuja kuimarisha maisha ya dunianai na Akhera, basi mbona maisha ya baadhi ya wale wasio fungamana na dini, wao ni wenye nyenendo zenye mfumo bora azaidi wa maisha?
12533 2012/05/23 Tabia kimatendoUislamu umekuja kwa ajili ya kuwapangia wanaadamu mfumo maalumu wa sheria za kijamii sheria ambzo ni kwa ajili ya kuweka uhusiano salama na wenye mafanikio baina yao wenyewe kwa wenyewe baina yao na M