HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:روزه)
-
Kodi za yanayohusiana na maudhui
4276 2018/11/10 اعتکافKwanza tuwie radhi kawa kuchelewa kukujibu swali lako. Tuna tazizo wakati mwengine la kuchelewa kujibu maswali kwa haraka hii ni kwa kutokana na kuzidiwa na maswali au wafanya kazi wetu kuto kuwa na m
-
Nini hukumu ya mwenye kumpa chakula muislamu asiyefunga?
5099 2018/11/05 گوناگونSi tatizo mtu kumpa chakula wakati wa mchana muislamu asiyefunga ndani ya mwezi wa Ramadhani. Hukumu hii na kwa yule muislamu amedharurika kufunga. Kama vile kumpa chakula wakati wa mchana muislamu al
-
je ndani ya mchana wa Ramadhan iwapo mtu yeye pamoja na mkewe atakuwa hakufunga, hivi ataruhusiwa kulala na mkewe ndani ya mchana huo?
13311 2012/05/23 Sheria na hukumuNdani ya fatwa za wanazuoni kuna mambo 9 ya msingi yenye kubatilisha saumu nayo ni: 1- kula na kunywa 2- kujamii 3- kupiga ponyeto 4- kumzulia uongo Mola na Mtume wake pamoja na maimamu s.a.w.w 5- ku
-
je nini wajibu wa mwanamke anayenyonyesha kwa muda wa miaka miwili mfululizo? Hivi yeye atatakiwa kulipa fidia ya funga zake pamoja na kuzilipia fidia kwa kutokana na kuchelewesha kuzilipa funga hizo?
11121 2012/05/23 Sheria na hukumuJawabu kutoka ofisi ya Ayatullahil-Udhmaa Sistani Mola amlinde : 1-mwanamke ambaye ananyonyesha aliye na uchache wa maziwa awe ni mama wa mtoto au mlezi anayelipwa kwa ajili ya kumnyonyesha mtoto hu
-
nini maana ya itikafu
19770 2012/05/23 Tabia kimtazamoNeno itikafu kilugha huwa lina maana ya kule mtu kukaa na kubaki katika sehemu au pahala maalumu huku akiwa ameshikamana na jambo maalumu ndani ya mahala hapo lakini neno hili kitaalamu kwenye fani ya
-
je ni wajibu wangu kulipa fidia ya funga zilizonipita kwa kutokana na uzembe wa wazazi wangu?
7941 2012/05/23 Sheria na hukumuOfisi ya Ayatullahi Sistani Mungu ameweke inajibu kwa kusema: Iwapo wewe ulikuwa hujui kuwa saumu ni wajibu basi lipa tu hizo funga za miaka minane na hakuna haja ya kuzilipia fidia. Ofisi ya
-
je mwenye saumu anaruhusiwa kukoga janaba?
21621 2012/05/23 Sheria na hukumuMtu anaweza kupatwa na janaba katika hali mbili: ima itakuwa ni kabla ya adhana ya asubuhi au baada ya adhana ya asubuhi lakini janaba tunalolizungumzia hapo ni lile janaba la dharura kama vile dharur
-
je kuutangaza mwezi ni jukumu la wanazuoni wote kwa ujumla, au ni jukumu tu la kiongozi (mwanafiqhi / kadhi) mkuu wa dini nchini?
9548 2012/05/23 Sheria na hukumuFani ya Fiqhi iliyo katika nyanja za juu iliyobobea huwa inampa mtu uwezo maalumu wa kuzivua na kuziopoa hukumu kuu za kisheria kutoka katika machimbuko yake ambayo miongoni mwayo ni zile ibara za Qu
-
nini hukumu ya msafiri aliyefunga, ambaye atasafiri kabla au baada ya kuingia Adhuhuri?
8466 2012/05/23 Sheria na hukumu1- safari itakayo fanywa baada ya adhuhuri huwa haiharibu funga na funga ya siku hiyo itakuwa sahihi. [ 1 ] 2- na mtu ambaye yuko safarini kisha akaamua kurudi kwake kabla ya adhuhuri au akaamua kw
-
nini hukumu ya mtu aliyekuwa anadaiwa funga kisha akawa hakuilipa funga hiyo hadi akafikiwa na Ramadhani nyengine ya mwaka ulioufata?
14425 2012/05/23 Sheria na hukumuTokeo hilo linaweza kutokea katika sura tatu nasi tutazifafanua sura hizo na kuzijibu kwa mujibu mitazamo ya maulamaa isemavyo. Na jawabu zetu ni kama ifuatavyo: 1- iwapo mtu ataacha kufunga kwa kut
-
ni zipi funga zilizo zisizofaa kwa mtazamo wa imam Shafi, Hanafi na Maalik?
14735 2012/05/23 Sheria na hukumuMasiku yasiyofaa kufunga saumu mbele ya imam Abu Hanifa ni: siku ya idi ndogo na idi kubwa pia kufunga siku ya mwezi 11 12 na 13 ya mwezi wa Dhil-hijja pia kufunga ndani ya idi pili hadi nne za idi ya
-
nini hukumu ya kupiga sindano ya nguvu au kutia maji ya nguvu (Intravenous injection) mwilini ndani ya Ramadhani?
10287 2012/05/23 Sheria na hukumuWanazuoni wamekhitalifiana kuhusiana na suala hilo. Kwa kupata jawabu tosha ni lazima utuambie kuwa wewe ni mfuasi wa mwanazuoni gani? Ili tuweze kukupa jawabu makini zaidi. Kwa vyovyote vile mitazamo
-
iwapo mtu ndani ya usiku wa mwezi wa Ramadhani atabakia na janaba hadi wakati wa adhana ya asubuhi kwa makusudi bila ya kukoga, mtu huyo atatakiwa kufanya nini? Je ailipe ile siku moja tu, au pia atatakiwa kulipa fidia?
21976 2012/05/23 Sheria na hukumuiwapo mtu atawajibikiwa kufunga mwezi wa Ramadhani naye kwa makusudi akabakia na janaba hadi adhana ya asubuhi anaweza yeye akatayamamu katika nyakati za mwisho kabisa kabla ya kuadhiniwa adhana hiyo
-
hivi mvuta sigara aweza kuvuta sigara hali akiwa amefunga?
7555 2012/05/23 Sheria na hukumuWanazuoni wote wa Kifiqhi wanasema kuwa: ni wajibu wa kila mwenye funga kuchukuwa tahadhari na kutofikisha kitu chochote kile kama vile tumbaku au moshi wa sigara ndani ya koo yake. [ 1 ] Na hakuna
-
iwapo mtu ataiharibu funga yake kwa makusudi, huku akawa hawezi kuifidia funga hiyo kwa kutokana na ugumu wa masharti, kwani utowaji wa fidia katika njia ulipaji wa funga iliyoharibiwa kwa makusudi, ni mgumu mmno. Mtu kama huyo basi itambidi afanyaje? Baada ya kuzingatia kuwa yeye hawezi kuwashibisha maskini sitini wala kumwachia huru mtumwa, na pia hawezi kufunga miezi miwili mfululizo, je atowe tu kiwango akiwezacho kukitowa na kuwapa maskini?
8184 2012/05/23 Sheria na hukumuWanazuoni wa Kifiqhi wanasema kuwa: mtu atakayeiharibu funga yake kwa makusudi antakiwa ima amtowe huru mtumwa [ 1 ] au afunge miezi miwili mfululizo au awalishe mlo mmoja maskini sitini mpaka washibe