HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:روابط جنسی)
-
je ndani ya mchana wa Ramadhan iwapo mtu yeye pamoja na mkewe atakuwa hakufunga, hivi ataruhusiwa kulala na mkewe ndani ya mchana huo?
13378 2012/05/23 Sheria na hukumuNdani ya fatwa za wanazuoni kuna mambo 9 ya msingi yenye kubatilisha saumu nayo ni: 1- kula na kunywa 2- kujamii 3- kupiga ponyeto 4- kumzulia uongo Mola na Mtume wake pamoja na maimamu s.a.w.w 5- ku