HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:اخلاق)
-
Vipi mtu anaweza kuwa kipenzi cha Mwenye Ezi Mungu?
7541 2019/06/16 Tabia kimatendoKatika lugha ya Kiarabu -ambayo ndiyo lugha ya sheria ya Kiislamu- neno pendo linatokana na neno حب . Ambalo lina maana ya kule mtu kuwa na mapenzi na mtu kitu au jambo fulani. Lakini neno pendo mapen
-
hadi kufia leo, ni watu gani walio weza kusimama mbele ya shetani, na walitumia njia gani katika kupambana naye?
14311 2012/06/17 Tabia kimatendoKwa mtazamo wa Qur-ani ni kwamba: shetani hana uwezo wa kuwamiliki na kuwadhibiti wacha Mungu wenye ikhlasi na Mola wao. Wacha Mungu wenye ikhlasi ni wale walio ifikia daraja maalumu ya ucha Mungu j
-
kuna tofauti gani baina ya tabia na eimu ya tabia (saikolojia)?
32223 2012/06/17 Tabia kimtazamoNeno tabia linatokana na neno la Kiarabu اخلاق ambalo ni umoja wa neno خلق lenye maana ya tabia nyenendo au sifa za watu mbali mbali zinazo zimbatana na matendo yao bila ya kutofautisha baina ya sifa
-
ni sharti gani sahihi za utumiaji wa vitu au neema zilizomo ulimwenguni?
9995 2012/06/17 Tabia kimatendoUislamu haukuyazingatia mahitajio ya mwanaadamu kwa upande mmoja tu kama vile zilivyo fanya dini nyengine kwani dini nyingi ima hugharamika katika kuyazingatia mahitajio ya kiroho peke yake au mahitaj
-
maadili mema yana nafasi gani kwenye uwanja wa mazoezi?
12038 2012/05/23 Tabia kimatendoUisalmu ni dini kamili iliyokusanya ndani yake mfumo kamili na salama wenye kutoa muelekeo wa kiutendaji kuhusiana na kipengele kimoja kimoja miongoni mwa vile vipengele vinavyo husiana na maisha ya m
-
nini maana ya ucha Mungu?
20403 2012/05/23 Tabia kimtazamoTaqwa ucha Mungu ni nguvu maalumu za kiroho zinazo weza kupatikana ndani ya nafsi ya mwanaadamu nguvu ambazo huwa ni himaya maalumu inayomuwezesha yeye kujitenga na maasi. Taqwa kamili ni ile inayomfa
-
kuna njia gani za kujenga urafiki na Qur-ani zitakazo mfanya mtu azoeane na Qur-ani?
12768 2012/05/23 Tabia kimatendoKama mtu atakaye isoma Qur-ani kwa nia ya kutafuta radhi za Mola wake huku yeye akawa anaisoma Qur-ani hiyo kwa makini na kuitafakari vilivyo basi Qur-ani iatamvuta mtu huyo na kumfanya awe ni mpezi w
-
kama kweli dini imekuja kuimarisha maisha ya dunianai na Akhera, basi mbona maisha ya baadhi ya wale wasio fungamana na dini, wao ni wenye nyenendo zenye mfumo bora azaidi wa maisha?
12510 2012/05/23 Tabia kimatendoUislamu umekuja kwa ajili ya kuwapangia wanaadamu mfumo maalumu wa sheria za kijamii sheria ambzo ni kwa ajili ya kuweka uhusiano salama na wenye mafanikio baina yao wenyewe kwa wenyewe baina yao na M
-
maisha ya kiucha-Mungu ni maisha ya aina gani? Je misngi ya maisha hayo haipingani na misingi mikuu ya maisha yetu?
12978 2012/05/23 Tabia kimatendoIwapo sisi tutailelekea Qur-ani Tukufu kisha tukaiuliza Qur-ani swali lifualato: je sisi tumeumbwa kwa ajili gani? Hapa tutaiona Qur-ani ikitujibu kwa kauli ifuatayo: و ما خلقت الجن و الانس الا لیع
-
nini maana ya itikafu
19769 2012/05/23 Tabia kimtazamoNeno itikafu kilugha huwa lina maana ya kule mtu kukaa na kubaki katika sehemu au pahala maalumu huku akiwa ameshikamana na jambo maalumu ndani ya mahala hapo lakini neno hili kitaalamu kwenye fani ya
-
kwa nini Imamu Husein (a.s) anaitwa Tharu-Llahi (ثار الله)?
12018 2012/05/23 Tabia kimtazamoNeno Tharu-Llahi ثار الله limekuja likiwa na maana mbili: moja ni kwa maana ya damu na ya pili ni kwa maana ya kulipiza kisasi na kutaka kummwga damu ya muuwaji. Kwa hiyo maana ya mwanzo inapotumika
-
iwapo amri za baba zitapingana na za mama, mwana atakuwa na anawajibu gani katika hali kama hiyo?
13138 2012/05/23 Tabia kimatendoMiongoni mwa amri kuu alizoamriswha mja na Mola wake baada ya ile amri ya kumpwekesha Mola wake ni kwatii wazazi wawili. Kuhusiana na swali lililoulizwa hapo juu pamoja na hali halisi iliyotajwa
-
je kuna haja ya kumkhofu Mola au tunatakiwa kuwa na mapenzi Naye?
9605 2012/05/23 Tabia kimatendoSuala la mtu kuwa na khofu huku akiwa na matarajio ya kheri na kwa upande wa pili akawa na mapenzi ya Mola wake huwa si suala la kushangaza kwa mambo hayo mawili hayapingani katika kuwepo kwake kwani