HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:تقوی)
-
nini maana ya ucha Mungu?
20572 2012/05/23 Tabia kimtazamoTaqwa ucha Mungu ni nguvu maalumu za kiroho zinazo weza kupatikana ndani ya nafsi ya mwanaadamu nguvu ambazo huwa ni himaya maalumu inayomuwezesha yeye kujitenga na maasi. Taqwa kamili ni ile inayomfa