HAZINA YA MASWALI
-
je majina ya watu watano watukufu yametajwa ndani ya Taurati na Injili?
12411 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaKwa mujibu wa nukuu za baadhi ya Hadithi ni kwamba majina ya matano ya Aali Abaa a.s yaani Aali wa Mtume Muhammad s.a.w.w ambao ni: Ali Fatima Hasan na Husein yametajwa ndani ya Taurati na Injili. P
-
ni kwa nini maombolezo ya Imamu Husein (a.s), yakapewa jina la Raudha?
10813 2012/05/23 تاريخ کلامNeno Raudha ni neno maalumu linalotumiwa na waombolezaji wa mwauwaji ya Imamu Husein a.s na neno hili linatoka kwenye kitabu maarufu cha maombolezo ya Imamu Husein a.s kijulikanacho kwa jina la Raud
-
hebu tufafanulieni umuhimu wa Hadhithi Kisaa (Hadithi ya joho)
13056 2012/05/23 Elimu ya HadithiHadhithi Kisaa Hadithi ya joho ambayo imenukuliwa ndani ya kitabu cha Sheikh Abbas Qummiy kijulikanacho kwa jina la Mafaatiihul-jinaan ni Hadithi iliyobeba ndani yake ujumbe mzito wenye umuhimu wa ain
-
je ni kweli kuwa Maimamu ni wabora zaidi kuliko hata Mitume?
15886 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaSuala la Maimamu a.s kuwazidi Mitume katika daraja za kielimu ni suala moja linalo onekana kuzungumziwa sana na Riwaya mbali mbali na sababu hasa za wao kuwazidi Mitume kielimu zinatokana na ule uhaki
-
je ni kweli kuwa Malaika wameumbwa kupitia nuru ya Maimamu (a.s)? Na je ni kweli kuwa wadhifa wao ni kumlilia na kuomboleza mauwaji ya Imamu Husein (a.s)?
14974 2012/05/23 Elimu ya zamani ya Akida1- Suala la Malaika kuumbwa kutokana na nuru ya watu fulani ni suala maarufu lilinukuliwa kutoka kwenye Riwaya za pande zote mbili za Masunni na Mashia. Ndani ya vitabu vya Kishia kuna Riwaya zinazoel
-
ibara ya laana yenye kuulenga ukoo wa Banu Umayya, haitoacha kumgusa mwana wa Yazidu, kwani naye ni miongoni mwa watu wa ukoo huo, vipi basi sisi tukubaliane na Ziara hiyo na kukadai kuwa ni maandilo sahihi yatokayo kwa Maimamu (a.s)?
9704 2012/05/23 Elimu ya HadithiNdani ya ibara zilizomo kwenye maandiko ya Sala na salamu za siku ya Ashura zijulikanazo kwa jina la Ziaratu-Aa shuuraa kuna ibara ya kuwalaani Banu Umayya wote kwa ujumla akiwemo mwana wa Yazidu. Huk
-
je Imamu Khomeiniy (r.a) alikuwa anaamini kuwa kuadhimisha kwa kilio na maombolezo siku ya kuuwawa Imamu Husein (a.s), ndiyo sababu iliyoufanya Uislamu kubaki hai na imara tokea zama za Maimamu (a.s) hadi leo? Na kama alikuwa na imani hiyo, basi ni kwa msingi gani?
8932 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaImamu Khomeiniy r.a alitilia mkazo sana katika mazungumzo yake ya mara kwa mara ya kwamba: muhanga wa Imamu Husein a.s pamoja kuadhimisha siku ya muhanga huo kwa kuandaa vikao vya maombolezo kwa aji
-
nini maana ya usemi usemao kuwa: kumzuru Imamu Husein (a.s) ni sawa na kumzuru Mola kwenye Arshi yake”?
11588 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaImamu Husein bin Ali a.s ambaye ni Imamu wa tatu wa Kishia ni mtu mwenye fadhila kubwa mbele ya Mola wake na fadhila hizo amezipata kwa kutokana na malengo yake matendo kutojitanguliza mbele katika ma
-
je Imamu Huein (a.s) aliwahi kuwa na bint aliyeitwa Ruqayya?
8238 2012/05/23 تاريخ بزرگانKatika tokeo muhimu la Karbala kulikuwa kuna aina nyingi za nyuso zilizong ara na baadhi ya nyuso hizo zilikuwa ni nyuso za watoto wadogo lakini Tarehe haikunukuu habari kamili kuhusiana na nyuso zote
-
tafadhalini tupeni ufafanuzi kuhusu mapokezi na maandiko ya Ziara ya siku ya Ashura.
10600 2012/05/23 Elimu ya HadithiRejeo mama na asili hasa zinazo aminika ambazo zimeyanukuu maandiko ya Sala na salamu Ziara za siku ya Ashura ni vitabu viwili navyo ni: kitabu Kaamiluz-ziaaraat cha Jaa far bin Muhammad bin Quulewaih
-
Je kuna ukweli wowote kuhusiana na madai yasemayo kuwa: Imamu Husein (a.s) alimuandikia Habibu bin Madhahir barua isemayo: “kutoka kwa mtengwa kwenda kwa Habibu”?
7117 2012/05/23 تاريخ بزرگانSisi swali lako tumelifanyia utafiti na kulisaka katika maandiko mbali mbali yanayoelezea msiba wa Imamu Husein a.s vile vile tumeangalia ndani ya kitabu maarufu kijulikanachoa kwa jina la Luhuuf cha
-
kuna dalili yoyote ile inayothibitisha kuwa Shimru alimchinja Imamu Husein (a.s) kwa kisogoni?
7445 2012/05/23 تاريخ بزرگانSuala hilo limenukuliwa kutoka sehemu tofauti: 1- Imenukuliwa katika maneno ya Zainab a.s yaliyosema: Ewe Muhmmad s.a.w.w wanao wa kike wamefanywa kuwa ni mateka na wanao wa kiume wameuwawa na upep
-
je kuna ukweli wowote kuhusiana na nukuu au habari zisemazo kuwa: Imamu Husein (a.s) na Yazidu wote wawili kwa pamoja walimposa Urainab? Na kama suala hilo ni la kweli, je jambo hilo liliweza kuchangia fitina za kutokea kwa vita vya Karbala?
10927 2012/05/23 تاريخ بزرگانKuna baadhi ya vitabu vya Tarehe vilivyoeleza kuwa: ingawaje Yazidu alikuwa ana kila aina ya starehe alizozitayarisha kwenye nyumba yake wakiwemo aina mbali mbali za wanawake lakini bado alikuwa hatos
-
kwa nini Uislamu unaamuru kuwanyonga wanaoritadi? Je hilo haliendani kinyume na uhuru wa kila mmoja kuabudu anacho kitaka?
21697 2012/05/23 Sheria na hukumuKuritadi ni kitendo cha wazi kabisa cha kutoka katika dini na mara nyigi tendo hilo hutumika kama ni nyenzo ya kuwadhoofisha wengine kiimani na kuwafanya waache dini yao na hatimae kuwatoa na kuwaweka
-
je ndani ya hadithi kuna ushahidi wowote unaoelezea kuwa Ramadhani ni siku tahalathini?
10380 2012/05/23 Elimu ya HadithiKila mwaka wa Hijiria kwa kawaida huwa una miezi kumi na mbili na masiku ya miezi huwa yanahesabiwa kwa kuonekana kwa mwezi hii ni kanuni ya mwaka wa Hijiria ama mwaka Shamsia kwa kawaida masiku yake
-
je ndani ya mchana wa Ramadhan iwapo mtu yeye pamoja na mkewe atakuwa hakufunga, hivi ataruhusiwa kulala na mkewe ndani ya mchana huo?
13360 2012/05/23 Sheria na hukumuNdani ya fatwa za wanazuoni kuna mambo 9 ya msingi yenye kubatilisha saumu nayo ni: 1- kula na kunywa 2- kujamii 3- kupiga ponyeto 4- kumzulia uongo Mola na Mtume wake pamoja na maimamu s.a.w.w 5- ku
-
je nini wajibu wa mwanamke anayenyonyesha kwa muda wa miaka miwili mfululizo? Hivi yeye atatakiwa kulipa fidia ya funga zake pamoja na kuzilipia fidia kwa kutokana na kuchelewesha kuzilipa funga hizo?
11178 2012/05/23 Sheria na hukumuJawabu kutoka ofisi ya Ayatullahil-Udhmaa Sistani Mola amlinde : 1-mwanamke ambaye ananyonyesha aliye na uchache wa maziwa awe ni mama wa mtoto au mlezi anayelipwa kwa ajili ya kumnyonyesha mtoto hu
-
nini maana ya itikafu
19829 2012/05/23 Tabia kimtazamoNeno itikafu kilugha huwa lina maana ya kule mtu kukaa na kubaki katika sehemu au pahala maalumu huku akiwa ameshikamana na jambo maalumu ndani ya mahala hapo lakini neno hili kitaalamu kwenye fani ya
-
je ni wajibu wangu kulipa fidia ya funga zilizonipita kwa kutokana na uzembe wa wazazi wangu?
7977 2012/05/23 Sheria na hukumuOfisi ya Ayatullahi Sistani Mungu ameweke inajibu kwa kusema: Iwapo wewe ulikuwa hujui kuwa saumu ni wajibu basi lipa tu hizo funga za miaka minane na hakuna haja ya kuzilipia fidia. Ofisi ya
-
kwa nini Imamu Husein (a.s) anaitwa Tharu-Llahi (ثار الله)?
12068 2012/05/23 Tabia kimtazamoNeno Tharu-Llahi ثار الله limekuja likiwa na maana mbili: moja ni kwa maana ya damu na ya pili ni kwa maana ya kulipiza kisasi na kutaka kummwga damu ya muuwaji. Kwa hiyo maana ya mwanzo inapotumika
-
je mwenye saumu anaruhusiwa kukoga janaba?
21676 2012/05/23 Sheria na hukumuMtu anaweza kupatwa na janaba katika hali mbili: ima itakuwa ni kabla ya adhana ya asubuhi au baada ya adhana ya asubuhi lakini janaba tunalolizungumzia hapo ni lile janaba la dharura kama vile dharur
-
je kuutangaza mwezi ni jukumu la wanazuoni wote kwa ujumla, au ni jukumu tu la kiongozi (mwanafiqhi / kadhi) mkuu wa dini nchini?
9581 2012/05/23 Sheria na hukumuFani ya Fiqhi iliyo katika nyanja za juu iliyobobea huwa inampa mtu uwezo maalumu wa kuzivua na kuziopoa hukumu kuu za kisheria kutoka katika machimbuko yake ambayo miongoni mwayo ni zile ibara za Qu
-
hivi Abbaaasi alipokwenda mto Furaat kwa ajili ya kuwaletea maji watu wa familia ya Imamu Husein (a.s) alitumia utajo au ukulele maalumu?
7796 2012/05/23 Nyenendo za wanazuoniImamu Husein a.s pamoja na wafuasi wake pale walipokuwa Karbala walikuwa wakisoma mashairi maalumu yenye ibara za kivita kwa ajili ya kuwahamasisha wanavita pia Abul-Fadhlil-Abbaas alionekana mara zot
-
nini hukumu ya msafiri aliyefunga, ambaye atasafiri kabla au baada ya kuingia Adhuhuri?
8504 2012/05/23 Sheria na hukumu1- safari itakayo fanywa baada ya adhuhuri huwa haiharibu funga na funga ya siku hiyo itakuwa sahihi. [ 1 ] 2- na mtu ambaye yuko safarini kisha akaamua kurudi kwake kabla ya adhuhuri au akaamua kw
-
ni nani aliyeuzika mwili mtukuffu wa Imamu Husein (a.s)?
9072 2012/05/23 تاريخ بزرگانMitazamo ya maulamaa ni yenye kutofautiana kuhusiana na suala hili. Moja kati ya mitazamo hiyo ni ule mtazamo unaowafikiana na baadhi ya Riwaya pamoja na vitabu vya Tarehe mtazamo huu ni kama ifuatavy
-
nini hukumu ya mtu aliyekuwa anadaiwa funga kisha akawa hakuilipa funga hiyo hadi akafikiwa na Ramadhani nyengine ya mwaka ulioufata?
14476 2012/05/23 Sheria na hukumuTokeo hilo linaweza kutokea katika sura tatu nasi tutazifafanua sura hizo na kuzijibu kwa mujibu mitazamo ya maulamaa isemavyo. Na jawabu zetu ni kama ifuatavyo: 1- iwapo mtu ataacha kufunga kwa kut
-
ni zipi funga zilizo zisizofaa kwa mtazamo wa imam Shafi, Hanafi na Maalik?
14769 2012/05/23 Sheria na hukumuMasiku yasiyofaa kufunga saumu mbele ya imam Abu Hanifa ni: siku ya idi ndogo na idi kubwa pia kufunga siku ya mwezi 11 12 na 13 ya mwezi wa Dhil-hijja pia kufunga ndani ya idi pili hadi nne za idi ya
-
je majini na Malaika walikuja kumsaidia Imamu Husein (a.s) pale alipokuwa vitani huko Karbala? Na kama wao walikuja kumsaidia, basi kwa nini yeye aliukataa msaada huo?
12571 2012/05/23 تاريخ بزرگانKuna baadhi ya Riwaya na Hadithi zilizopokelewa kutoka kwa baadhi ya Maimamu a.s zenye kuashiria suala hilo. Lakini hakuna ajabu kuhusiana na suala hilo kwani Mwenye Ezi Mungu aliwanusuru mitume tof
-
je mtu asiwajibikiwa kufunga (asiyefunga) ana ulazima wa kutoa zakatul-fitri?
11107 2012/05/23 Sheria na hukumuMtu atakaeingiliwa na usiku wa Idil-fitri huku akiwa ni baleghe na mwenye akili timamu naye akiwa si mtumwa wa mtu wala si fakiri mtu huyo atawajibika kutoa zakatul-fitri kwa ajili yake na kwa ajili y
-
nini ilikuwa hatima ya farasi wa Imamu Husein (a.s) huko Karbala?
7817 2012/05/23 تاريخ بزرگانWaandishi mbali mbali wa walioandika na kulizungumzia tokeo la Karbala hawakutoa ufafanuzi wa kutosha kuhusiana na farasi wa Imamu Husein a.s bali walichokielezea ni kuwa farasi huyu alijipakaa damu
-
nini hukumu ya kupiga sindano ya nguvu au kutia maji ya nguvu (Intravenous injection) mwilini ndani ya Ramadhani?
10330 2012/05/23 Sheria na hukumuWanazuoni wamekhitalifiana kuhusiana na suala hilo. Kwa kupata jawabu tosha ni lazima utuambie kuwa wewe ni mfuasi wa mwanazuoni gani? Ili tuweze kukupa jawabu makini zaidi. Kwa vyovyote vile mitazamo
-
je mababu na wana wa Maalik Ashtar walikuwa ni wapenzi na wanaumini wanao uunga mkono uongozi wa Ahlul-Bait (a.s)?
8140 2012/05/23 تاريخ بزرگانKwa kweli hakuna kitabu miongoni mwa vitabu maarufu vya Tarehe vyenye kutegemewa kilichozungumzia na kuthibitisha suala la hali halisi juu ya wazee wa Maalik Ashtar bali tu kinachofahamika kuhusiana n
-
kuna ulazima gani wa kuonekana kwa mwezi kwa ajili ya Ramadhani? Na mbona suala hilo hailizingatiwi sana ndani ya miezi iliyobakia?
8740 2012/05/23 Falsafa ya Sheria na hukumuSuala la kuonekana kwa mwezi ni lenye umuhimu ndani ya miezi yote lakini suala hilo huwa ni lenye kupewa kipau mbele zaidi ndani ya mwezi wa Ramadhani kwa kutokana na ulazima wa ibada ya funga iliyomo
-
iwapo mtu ndani ya usiku wa mwezi wa Ramadhani atabakia na janaba hadi wakati wa adhana ya asubuhi kwa makusudi bila ya kukoga, mtu huyo atatakiwa kufanya nini? Je ailipe ile siku moja tu, au pia atatakiwa kulipa fidia?
22020 2012/05/23 Sheria na hukumuiwapo mtu atawajibikiwa kufunga mwezi wa Ramadhani naye kwa makusudi akabakia na janaba hadi adhana ya asubuhi anaweza yeye akatayamamu katika nyakati za mwisho kabisa kabla ya kuadhiniwa adhana hiyo
-
vipi Ukristo umeweza kuzifikia hatua mbali mbali za mabadiliko yake ndani ya uwanja wa kihistoria? Na ni jambo gani hasa lililosababisha kutokea upotoshaji wa dini ndani ya dini hii ya Kikristo?
11582 2012/05/23 Elimu mpya ya AkidaWakristo walipokuwa wakiishi katika zama ambazo Isa a.s alikuwa tayari ameshapaishwa mbinguni na Mola wake jukumu la kulingania dini lilishikwa na mitume pamoja na wafuasi wake Hawariyyuun waliokuwep